ELIMU YA KINYWA NA MENO KWA JAMII.(COMMUNITY DENTISTRY)
Nimadaktari wa kinywa na meno, toka katika chuo cha madaktari wa kinywa na meno MBEYA, wali potembelea shule ya wasichana ya kidato cha tano na sita ya LOLEZA iliyo po jijini MBEYA. Pichani, anaetoa maelezo ni Dr. Mwakayoka, na kushoto kwake ni Dr. Ibrahim Kasambala ambae ni mkuu wa chuo ( Aliye vaa sweta).
Vigezo vya kujiunga na chuo no vipi?
ReplyDeleteNmejaribu kutafuta contacts zenu lakini hazipo wakuu
ReplyDeleteNo zenu mbon hazionekan
ReplyDeleteNashindwa jinsi ya kupata link ya sifa na kujiunga. Plz nisaidieni
ReplyDelete